TUMIA CLEAR HEAT AND REFRESHING

Kwanza ni mchanganyiko wa Vitamini C na Mint
Ambapo vyote kwa pamoja vinalenga kuondoa stress na kuwezasha wanyama kustahimili hali ya joto iliopitiliza
clear heat Wakati wa joto kali, mifugo hupata heat stress (msongo wa joto) unaoweza kusababisha:
•Kupungua kwa kula (feed intake)
•Kushuka kwa uzalishaji wa mayai au maziwa
•Kuongezeka kwa vifo (hasa kwa vifaranga au kuku wa mayai)
•Kupungua kinga ya mwili

✅ Faida za Vitamin C:

•Hupunguza heat stress kwa kusaidia mwili kupunguza kiwango cha homoni za msongo (cortisol).
•Huongeza kinga ya mwili kwa kuboresha kazi ya seli nyeupe za damu.
•Husaidia kuku kuendelea kutaga hata wakati wa joto kali.
•Huboresha hamu ya kula na ufanisi wa chakula (feed conversion).
•Husaidia katika uponyaji wa haraka baada ya ugonjwa au chanjo.

🟢 2. Umuhimu wa Mint (Mnanaa) kwa mifugo

Mint ina menthol, antioxidants na mafuta muhimu (essential oils) ambayo yana sifa za kutuliza na kupoza.

👉 Faida za Mint:

•Hupunguza joto mwilini (ina cooling effect).
•Huboresha hamu ya kula kwa harufu yake nzuri.
•Huzuia harufu mbaya kwenye kinyesi na banda.
•Husaidia mfumo wa kupumua kwa kupunguza msongamano wa hewa (respiratory congestion).
•Ina antibacteria na antiviral properties — huzuia magonjwa ya tumbo.
•Huondoa wadudu wachache kama mbu au nzi ndani ya banda kutokana na harufu yake kali.

👉 3. Faida za kuchanganya Vitamin C + Mint (mchanganyiko bora msimu wa joto)

Unapochanganya vyote:
•Mchanganyiko hupunguza haraka athari za joto kuliko Vitamin C peke yake.
•Huongeza ulaji wa maji (menthol inawavutia kunywa zaidi).
•Huimarisha kinga wakati wa mabadiliko ya hali ya hewa.
•Huleta harufu safi na kupunguza gesi bandani.
•Huongeza uzalishaji wa mayai, maziwa, au uzito wa mwili.
Usisubiri wapunguze uzalishaji au ukuaji
Tumia vitamini C na Mint kuwaandaa na hali ya joto.
Vitamin C+ Mint utaipata
Ujazo 500g
Matumizi 10g/20lts
UTAZIPATA KWETU KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA🤝
☎️ Wasiliana nasi kupitia:
Mwanza(Jengo la sukumaa plaza)NATA
📞+255 681 605 009
📞+255 754 275 471
📞+255 650 273 602
Dar es salaam (Tegeta kibaoni mkabara na nyuki house)
📞+255 613 088 886
📞+255 622 531 253
Morogoro (Mtaa wa Nunge karibu na mahakama)
📞+255 760 130 317
Mbeya(Mbalizi & Mwanjelwa)
📞+255 613 088 886
 Kujiunga na Group letu la Wsp gusa link hapo chini
                   👇
Scroll to Top